Afisa Sheria (Masuala ya Madai) atakuwa na jukumu la kushughulikia na kusimamia kesi zote za madai zinazohusisha shirika. Hii inajumuisha kuandaa mikakati ya madai, kuhakikisha uzingatiaji wa sheria, kusimamia mawakili wa nje, na kuwakilisha shirika mahakamani, kwenye mabaraza, au katika...
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Benki ya CRDB Tanzania Disemba 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
CRDB Bank Plc ni benki ya Kiafrika na moja ya watoa huduma za kifedha wanaoongoza nchini Tanzania, yenye...