Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu kwa nafasi za kazi...