Hizi hapa Nafasi za kazi Kiwanda cha Vigae Goodwill (Tanzania) Ceramics December 2024 ni kampuni inayoongoza kwa utengenezaji wa vigae vya kisasa, yenye makao yake Mkuranga, Tanzania. Tangu ilipoanzishwa mwaka 2015, kampuni hii imepiga hatua kubwa kwenye sekta ya ujenzi, ikiwa imewekeza zaidi ya...