Hizi hapa Nafasi za kazi Paylon LTD November 2024. Kampuni ya Fintech inayofanya kazi jijini Dar es Salaam, Tanzania, inatafuta kuajiri Afisa wa Hatari na Uzingatiaji (Risk and Compliance Officer) mwenye uzoefu na ari ya kazi kujiunga na timu yetu mahiri. Lengo ni kusaidia kushughulikia...