Ushirikiano wa Denmark na Tanzania umekuwa ukibadilika tangu mwaka 1963, ambapo Tanzania ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kushirikiana na Denmark. Katika kipindi cha miaka 60 iliyopita, Denmark imechangia zaidi ya TZS trilioni 50 katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Tanzania kupitia...