Hizi hapa ajira mpya pamoja na Nafasi za Kazi Kutoka WFP Tanzania | Shirika la Chakula Duniani zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.
WFP imejitolea kwa kanuni ya fursa sawa ya ajira kwa wafanyakazi wake wote na inahimiza wagombea wenye sifa kuomba kazi bila kujali...