Hili hapa Nafasi za Kazi Shule ya Msingi Tumaini Desemba 2024 lililo tangazwa kwa watanzania wote wenye sifa waweze kujaza nafasi za Ajira zilizo tangazwa kama lilivyo ainishwa hapa chini.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) anatangaza nafasi 70 za ulinzi kwa wahitimu waliomaliza katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori-Pasiansi.
Sifa za mwombaji
i) Amehitimu mafunzo ya mwaka mmoja yanayotolewa na Chuo cha Taaluma ya...
Tangazo la Nafasi za Ajira: Fursa ya kipekee ya kujiunga na Shirikala Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi - Ajira Mpya 3000 Sekta ya Ulinzi
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI
Kumbuka: Nafasi za kazi zinazojaza haraka...