Klabu ya Wydad Casablanca imetenga kiasi cha fedha 831,082 US Dollar sawa na kiasi cha Billioni mbili za kitanzania kwaajili ya kunasa saini ya mchezaji Clement Mzize ifikapo dirisha kubwa la usajili.
Hapo awali klabu ya Wydad Casablanca ilihitaji sana huduma ya nyota huyo anaeichezea klabu ya...
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inafuatilia kwa karibu kiwango cha Allan Okello (24) mchezaji wa Klabu Vipers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Uganda.
Okello, ni miongoni mwa vijana waliojaliwa kipaji kwani huwa anaitwa na kianza kwenye kikosi cha kwanza cha Uganda Cranes licha ya Timu hiyo kuwa...
nbctransfernews
simba sports club transfer
tetesi za usajiri dirisha dogo 2024
tetesi za usajiri ligi kuu
usajiri msimbazi
usajiri yanga
wananchiforum
young african transfer