nhif

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Vifurushi vya Bima ya Afya vya NHIF Ada NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA, na TIMIZA AFYA

    Vifurushi vya Bima ya Afya vya NHIF Ada NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA, na TIMIZA AFYA

    Gharama, Ada na Vifurushi vya Bima ya Afya vya NHIF ambavyo ni NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA, na TIMIZA AFYA ni mpango unaowezesha mwanachama kupata huduma za matibabu kupitia Kichangia Bima na mfuko kupitia kiwango cha uchangiaji cha aina ya huduma na aina ya vifurushi kwa kuchagua kifurushi...
  2. Toto Afya NHIF kurejea kwa kishindo

    Magazetini Toto Afya NHIF kurejea kwa kishindo

    Dkt. Isaka aweka wazi udanganyifu uliyochangia hasara ya bilioni 31.764. Sasa na hasara ya asilimia 313, sasa wameunda mfumo wa kubaini kile taarifa kutoka vitutoni. Kadi 12,68 5 zilizofutwa kutoka na udanganyifu wa baadhi ya waajiri na wanachama waliohujumu mfuko.
  3. NHIF YAZINDUA MFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK)

    NHIF YAZINDUA MFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK)

    LEO: Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama, Mfumo wa Uchakataji Madai na Kifurushi cha Toto Afya Kadi Desemba 17, 2024. Uzinduzi wa Mfumo unafanyika baada ya Mfuko kutekeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom