HESLB Kuongeza Idadi ya Wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu Mwaka 2025/2026
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza kuwa kwa mwaka wa masomo 2025/2026, serikali itaongeza idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo ya elimu ya juu kutoka wanafunzi 245,314 mwaka...