Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Wilaya ya Sengerema December 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawafahamisha waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 09-09-2024 kuwa matokeo ya waliofaulu sasa yanapatikana. Hii ni hatua muhimu katika...