Lengo la Reforest Africa ni kuleta usawa kati ya binadamu na mazingira, kwa maono ya kuona misitu ya asili ikistawi barani Afrika sambamba na jamii zinazofanikiwa.
Reforest Africa imesajiliwa kama Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) nchini Tanzania (INGO/R/0826) na pia kama taasisi ya hisani...