scholarships

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Waliopata Ufadhili wa Masomo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

    Waliopata Ufadhili wa Masomo Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

    Benki Kuu ya Tanzania inayo furaha kubwa kuwataarifu wananchi kuwa Mfuko wa Mwalimu Julius K. Nyerere Memorial Scholarship umetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi bora kwa mwaka wa masomo wa 2024/25. Mfuko huu umetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi bora wa kike na kiume wa Kitanzania ili...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom