Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 21-10-2024 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili...