Jumla ya wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2024 tayari wamechaguliwa na wamepangiwa Shule za Sekondari na wanatarajiwa kuanza masomo yao Januari 2025. Hii ni hatua muhimu inayolenga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kuendelea na elimu ya sekondari, hatua inayochangia...
WARAKA WA ELIMU NA. 02 WA MWAKA 2024 KUHUSU KALENDA YA MIHULA YA MASOMO KWA SHULE ZA AWALI, MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2025
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na idadi sahihi ya siku za masomo, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeandaa Kalenda ya...