Klabu ya Simba sports club itasafiri tena Kuwafuata bravo do Maquis nchini Angola katika michuano ya shirikisho barani Africa CAFCC.
Mchezo Huo ni Mchezo mhimu sana Kwa Mnyama Simba kwani endapo akashinda au kutoa sare itampa nafasi ya kufuzu Moja Kwa Moja Kwenye hatua ya robo fainali Africa...
Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki.
Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine alishachukua 3 ugenini na Bravos alichukua 3 nyumbani.
Kwa nature ya kundi hili sitoshangaa Simba...
Jean Charles Ahoua kwenye kombe la shirikisho Afrika, amehusika kwenye magoli manne (04) hadi hivi sasa.
Ametoa pasi za magoli (02) huku akifunga magoli mawili hadi hivi sasa 🔥 kwenye eneo la takwimu jamaa ni hatari sana 🙌
Remember the name : Jean Charles Ahoua ✅
𝐌𝐂𝐇𝐄𝐙𝐎 𝐍𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐔𝐌𝐙𝐈𝐊𝐎
Well done Lunyasi dakika 45 bora mmecheza 👏 mikakati sahihi timu ikiwa na mipira (pasi sahihi za mbele na uharaka kwenye matukio muhimu ✅)
Goli limehusisha pasi tatu tu!.. hawa Cs Sfaxien ni kama wamepoteana hivi hasa wakifika kwenye nusu ya Simba wanakuwa na idadi ndogo...
CS Sfaxien wako nyumbani leo kwenye kampeni yao kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho na wanacheza dimbani kucheza na Simba Sc.
Sfaxien hawajashinda mchezo wowote katika michezo mitatu waliyocheza na wako mkiani wakiwa hawana alama yoyote mpaka sasa huku wakiwa wameruhusu mabao 6...
SIMBA 🇹🇿 wakiwa Ugenini mechi 5 za mwisho CAF
❌ Wydad 1-0 Simba
🤝 Asec 0-0 Simba
❌ Al Ahly 2-0 Simba
🤝 Ahli Tripoli 0-0 Simba
❌ Constatine 2-1 Simba
Leo Vs Cs sfaxien..?