Klabu ya Simba sports club itasafiri tena Kuwafuata bravo do Maquis nchini Angola katika michuano ya shirikisho barani Africa CAFCC.
Mchezo Huo ni Mchezo mhimu sana Kwa Mnyama Simba kwani endapo akashinda au kutoa sare itampa nafasi ya kufuzu Moja Kwa Moja Kwenye hatua ya robo fainali Africa...
Kwenye Kundi hili kila timu 3 za juu zote zinamtazama Cs Sfaxien kama ngazi...atakaedondosha alama kwa Sfaxien anaweza kubaki.
Simba amefanikiwa kuchukua alama zote 6 kwa Sfaxien, Constantine alishachukua 3 ugenini na Bravos alichukua 3 nyumbani.
Kwa nature ya kundi hili sitoshangaa Simba...
Ushindi wa Simba dhidi ya Cs Sfaxien unawapeleka kileleni mwa msimamo wa kundi A wakiwa na alama 9 na kuzima ile kauli ya Simba huwa haijawahi kushinda nyumbani kwa mwarabu.
Ni mechi ambayo ilihitaji wachezaji wanaokimbia sana kiwanjani , kulikuwa na matumizi ya mipira mingi mirefu , power play...
Performance bora kutoka kwa kipa Wa JKT,Yakoub Suleiman🙌
Kipindi cha kwanza amefanya saves Za kutosha ila ile ya kichwa cha Ateba inaweza kuwa Save bora ya mwaka.
Jamaa yuko active Muda wote,anasoma vizuri movement Za Wachezaji Wa Simba kabla hawajapiga.
Simba iliwabidi kutumia njia mbadala...