Pichani ni Abdulrazak Hamza na Yusuph Kagoma wachezaji wa Simba Sc wenye utambulisho wa uraia wa Tanzania.
Ni sajili za dirisha kubwa la usajili msimu wa 2024/25 pale Lunyasi.
Naamini asilimia kubwa ya watanzania wakati wa sajili hizi waliamini/tuliamini ni wachezaji wa ziada kwenye timu...
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba inafuatilia kwa karibu kiwango cha Allan Okello (24) mchezaji wa Klabu Vipers inayoshiriki Ligi kuu Nchini Uganda.
Okello, ni miongoni mwa vijana waliojaliwa kipaji kwani huwa anaitwa na kianza kwenye kikosi cha kwanza cha Uganda Cranes licha ya Timu hiyo kuwa...
nbc transfer news
simbasportsclubtransfer
tetesi za usajiri dirisha dogo 2024
tetesi za usajiri ligi kuu
usajiri msimbazi
usajiri yanga
wananchiforum
young african transfer