Pichani ni Abdulrazak Hamza na Yusuph Kagoma wachezaji wa Simba Sc wenye utambulisho wa uraia wa Tanzania.
Ni sajili za dirisha kubwa la usajili msimu wa 2024/25 pale Lunyasi.
Naamini asilimia kubwa ya watanzania wakati wa sajili hizi waliamini/tuliamini ni wachezaji wa ziada kwenye timu...
Hizi hapa tetesi za usajiri kunako katika club ya Simba sports.
Baada ya Dirisha dogo Jana December 15, 2024 kufunguliwa Viongozi wa wekundu hao hii Leo Tarehe 16 wamekamilisha kumuingiza Kwenye mfumo wa usajiri TFF winga wao mpya Elie Mpanzu Kibisawala rasimi kuanza kukitumikia Kikosi hicho...