simba usajiri

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Mohammed Dewji Wa Simba Sports Club Anamtaka Fei Toto

    Mohammed Dewji Wa Simba Sports Club Anamtaka Fei Toto

    Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amewasilisha ofa ya dola 300,000 (Zaidi ya milioni 730 za Kitanzania) Pamoja na Aishi Manula kwa maboss wa klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Feisal Salum 'Fei Toto'.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom