simba vs cs constantine

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
  1. Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Habari za Michezo Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa

    Kikosi cha SIMBA SC Vs CS Constantine Leo Tarehe 08 December 2024 Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika Hiki Hapa hatua ya makundi. Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, ameweka wazi kuwa timu yake itaingia uwanjani kwa mpango maalum, huku wapinzani wao wakikumbwa na changamoto ya kuwakosa wachezaji...
  2. G

    Habari za Michezo Simba SC Kuwakabili CS Constantine: Vita ya Kudhibiti Brahim Dib

    Simba SC wanajiandaa kwa mechi muhimu ya CAF Confederation Cup dhidi ya CS Constantine ya Algeria, huku macho yote yakiwa kwa kiungo mahiri Brahim Dib. Dib amekuwa moto msimu huu, akifunga mabao matano kwenye mechi 11 za ligi, pamoja na hat-trick ya kuvutia dhidi ya JS Kabylie, na pia kufunga...
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom