Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) imesimamisha ligi kuu Tanzania Bara kuanzia Disemba 29,2024 mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi Cup pamoja na Michuano ya CHAN itayoanza Mwezi january Mwaka Ujao.
Baada ya Shirikisho la kandanda Nchini Tanzania (TFF) kutangaza kuanzia...
Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo kuondolewa kwenye ratiba Simba kuanza mzunguko wa pili huku ikiwa na mchezo wa raundi ya kwanza haujachezwa...