Na WAF, Dodoma Kurejea kwa Toto Afya Kadi: Mwanga Mpya kwa Bima ya Afya ya Watoto
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, ametangaza kwa furaha kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi, mpango unaolenga kutoa suluhisho la bima ya afya kwa watoto nchini Tanzania. Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 17 Desemba...
Dkt. Isaka aweka wazi udanganyifu uliyochangia hasara ya bilioni 31.764.
Sasa na hasara ya asilimia 313, sasa wameunda mfumo wa kubaini kile taarifa kutoka vitutoni.
Kadi 12,68 5 zilizofutwa kutoka na udanganyifu wa baadhi ya waajiri na wanachama waliohujumu mfuko.
LEO: Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama, Mfumo wa Uchakataji Madai na Kifurushi cha Toto Afya Kadi Desemba 17, 2024. Uzinduzi wa Mfumo unafanyika baada ya Mfuko kutekeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia...