Mfumo wa maombi ya ajira Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Recruitment Portal login 2025) ni jukwaa la mtandaoni linalotumika kwa ajili ya kuwasilisha maombi ya kazi ndani ya mamlaka hii. Ili kuingia (login), wanaotaka kazi wanahitaji kujiandikisha kwanza kwa kutumia anwani yao ya barua pepe na...