Nafasi ya Kazi: Mhandisi wa Migodi
Sifa za Mwombaji:
Shahada ya Uhandisi wa Migodi au fani inayohusiana.
Uzoefu wa angalau miaka 5 katika shughuli za uchimbaji wa migodi ya wazi.
Cheti halali cha ulipuaji (Blasting Certificate).
Ujuzi mzuri katika:
Kuchimba, kulipua, kupakia, na kusafirisha...
Kampuni ya Twiga Cement imetangaza nafasi za kazi kwa Financial Accountant Novemba 2024
Jinsi ya kutuma maombi
1. Tembelea tovuti husika hapa
2. Jaza taarifa zako muhimu kwa kuanza na jina lako la kwanza.
Hizi hapa Nafasi za kazi Kutoka Twiga Cement Novemba 2024 | Ajira Mpya kwa Assistant Accountant zilizo tangazwa leo kampuni bora kabisa kutoka Tanzania.
Kampuni ya Tanzania Portland Cement Public Limited (TPC PLC), iliyoanzishwa mwaka 1966, ni kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa saruji nchini...