Habari, Naomba msaada namna ya kuingia kwenye portal ya Uhamiaji ikiwa nilifungua account na nikasahau neno la siri na sikufika kwenye hatua ya kuthibitisha Email . Na nilipo jaribu kuwatafuta juu ya hili mwanzo waliniambia kwamba account yangu tayari ilikua imepewa namba ya Msimbo kwa Email...