Wananchi, Hili hapa Tangazo la Ufadhili wa Masomo kwa Wanafunzi wa Afrika Mashariki: Kusoma Master of Business Research na Master of Science in Sustainable Management and Operations katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 2024/2025.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Kuehne...