Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo muhimu cha serikali kilichoundwa kusaidia mchakato wa kuajiri wafanyakazi wenye ujuzi, sifa, na weledi unaohitajika katika sekta ya umma. Kwa kuwa ni chombo huru, PSRS inahakikisha mchakato wa ajira unafuata viwango vya uwazi, usawa...
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal, Utumishi wa Umma, Serikalini | Taasisi Mbalimbali TRC, GPSA, TAFIRI, TGDC,TBC yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 09/11/2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kufanya usaili wa kuandika yapo chini.
Matokeo ya usaili...