Hii hapa Fomu ya Kujiunga na Chuo cha VETA TANGA RVTSC, Ili kufanikisha mafunzo ya ufundi kila mwanafunzi anatakiwa kufuata sheria zifuatazo:-
Kila mwanafunzi anatakiwa kufika chuoni saa 1:30 asubuhi. Hii ina maana ifikapo saa 1:30 wanafunzi wote wawe wameshafika chuoni. Adhabu kali itatolewa...
Hizi hapa Kozi zinzotolewa Chuo cha Arusha VTC VETA
Electrical Installation (EL) - Ufundi wa Umeme
Welding & Fabrication (WF) - Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma
Agro Mechanics (AGM) - Ufundi wa Mashine za Kilimo
Plumbing & Pipe Fitting (PPF) - Ufundi wa Mabomba na Ufungaji
Design Sewing &...
Hii hapa Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF 2025/2026 vinavyotoa mafunzo mbalimbali nchini kwa kutoa wataalamu watakao kwenda kusaidia Taifa kwa ujumla katika sehemu mbalimbali.
Orodha ya Vyuo vya VETA
Ifuatayo ni orodha ya vyuo vya VETA vilivyogawanywa...
Hizi hapa Sifa za kujiunga na VETA imeboresha utaratibu wa kujiunga ili kuhakikisha waombaji wanapata fursa za kuendeleza ujuzi wao kwa urahisi na uwazi. Huu hapa ni mwongozo wa kina kwa wale wanaotaka kupata mafunzo katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA:
Sifa za kujiunga VETA
Umri ni kuanzia...
Hii hapa PDF Majina ya Waliochaguliwa VETA Kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025 yaliyotangazwa leo Desemba 2024.
Kupata PDF zote za majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2025 bonyeza hapa SELECTED APPLICANTS FOR 2025 INTAKE
Wananchi, Hii hapa Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025 yaliyo tangazwa siku ya leo tarehe 11 Disemba 2024, kwa watanzania wote wale waliotuma maombi yao kwa kufata maelekezo yaliyo tolewa kwenye tangazo husika.
Mamlaka ya Elimu na...
Ada na gharama za mafunzo kwa vyuo vinavyomilikiwa na VETA (Vocational Education and Training Authority) zinategemea aina ya mafunzo yanayotolewa, muda wa mafunzo, na aina ya programu au kozi. VETA inatoa mafunzo katika nyanja mbalimbali kama vile ujenzi, umeme, uchoraji, udereva, upishi, na...
Kutoka sekretarieti ya ajira Kama una nia ya kutuma maombi basi zimetangazwa Nafasi 123 za Ajira Mpya Kutoka Utumishi (PSRS) Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuwania nafasi za kazi zilizo ainishwa hapa chini kwa watanzania wote wenye sifa.
Nafasi zilizo tangazwa
Nafasi na...