Gharama, Ada na Vifurushi vya Bima ya Afya vya NHIF ambavyo ni NAJALI AFYA, WEKEZA AFYA, na TIMIZA AFYA ni mpango unaowezesha mwanachama kupata huduma za matibabu kupitia Kichangia Bima na mfuko kupitia kiwango cha uchangiaji cha aina ya huduma na aina ya vifurushi kwa kuchagua kifurushi...