Je, una shauku ya kuchangia katika elimu bora kwa wote? VVOB inakua na sasa tunayo furaha kutangaza nafasi kadhaa za ajira katika ofisi yetu mpya hapa Tanzania!
Tunatafuta kuajiri:
Mhasibu (Accountant)
Maafisa wa Fedha wawili (Finance Officers)
Maafisa wa Operesheni wawili (Operations...