Hii hapa Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Tanzania: Maelezo ya kila Chuo | 10 Bora pamoja na kozi zinazo tolewa, ada, gharama.
1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM):
Kama chuo kikuu cha kwanza nchini, UDSM kinatoa mazingira ya kujifunza yenye changamoto na yenye utajiri wa kitaaluma. Chuo hiki...
Nchini Tanzania, kuna vyuo vikuu na taasisi mbalimbali zinazotoa kozi za online "mtandaoni" ili kurahisisha upatikanaji wa elimu kwa watu wanaopendelea kujifunza kwa njia ya mtandao. Vyuo hivi vinatoa kozi za ngazi tofauti, zikiwemo stashahada, shahada za kwanza, na shahada za uzamili. Hapa kuna...