Hii hapa Orodha ya Vyuo vya VETA na Ufundi Stadi Tanzania Ada za kila Chuo PDF 2025/2026 vinavyotoa mafunzo mbalimbali nchini kwa kutoa wataalamu watakao kwenda kusaidia Taifa kwa ujumla katika sehemu mbalimbali.
Orodha ya Vyuo vya VETA
Ifuatayo ni orodha ya vyuo vya VETA vilivyogawanywa...
Hizi hapa Sifa za kujiunga na VETA imeboresha utaratibu wa kujiunga ili kuhakikisha waombaji wanapata fursa za kuendeleza ujuzi wao kwa urahisi na uwazi. Huu hapa ni mwongozo wa kina kwa wale wanaotaka kupata mafunzo katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA:
Sifa za kujiunga VETA
Umri ni kuanzia...