MBASHARA: WAZIRI MCHENGERWA AKITANGAZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2025
Hakutakuwa na chaguo la pili kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Ufaulu ni kuanzia alama 121 hadi 300
Kuangalia selection za kidato cha kwanza (Form one), Tembelea tovuti ya Tamisemi hapa
Kama...
Hizi hapa Shule walizopangiwa Darasa la saba 2025 waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025-26 - Kujiunga Form one 2025 PDF pakua sasa.
Wanafunzi waliomaliza darasa la saba 2024 sasa wanajiandaa kuanza safari mpya ya elimu ya sekondari. Serikali kupitia Wizara ya Tawala za Mikoa na...