Wananchi, Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TIE Interview Taasisi ya Elimu Tanzania December 2024. Tunapenda kuwajulisha waombaji wa kazi ya Afisa Biashara na Masoko ambaowameorodheshwa hapo chini kuwa wanatakiwa kwenye usaili wa maandishi/kuandika(written Inteview) siku ya...