Hatua Muhimu za au jinsi ya Kuomba Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi | Watumishi wa Umma 2024/2025 Kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwenda TAMISEMI.
Kwa mtumishi anayehitaji kuhamishwa kwenda sehemu nyingine kupitia TAMISEMI, ni muhimu kuwa na nyaraka zote zinazohitajika ili kuharakisha mchakato...
Hizi hapa hatua, Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25 au Utumishi
Mamlaka za Uhamisho
Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 pamoja na Kanuni za mwaka 2003, Mamlaka za Uhamisho ni kama ifuatavyo:
Katibu Mkuu...
Ajira za watumishi wa umma ni nafasi zinazotolewa na serikali kwa watu wenye sifa maalum na uzoefu wa kazi. Kwa mwaka 2024, ajira hizi zinahusisha nafasi katika sekta kama elimu, afya, uhandisi, na huduma za kijamii, zikiwa na lengo la kuongeza ufanisi wa utoaji wa huduma kwa wananchi. Ajira...
Hivi hapa Viwango Vya Mishahara Serikalini Utumishi MDAs & LGAs, TGOS, TGS, TGTS, TGHOS, kada za Afya, Kada za Walimu pamoja na taasisi mbalimbali nchini Tanzania.
Mshahara ni malipo ya fedha anayopokea mfanyakazi kutoka kwa mwajiri wake kwa kufanya kazi kwa muda maalum, kama vile mwezi, wiki...