Hili hapa Tangazo la nafasi za kazi kutoka Bariadi November 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...