Hizi hapa Nafasi za kazi Wakala wa Vipimo (WMA) December 2024 | Ajira Mpya 20 ni Wakala wa Serikali wenye jukumu la kuhakikisha uwiano wa haki katika miamala ya kibiashara kupitia udhibiti wa Kisheria wa Vipimo. Wakala huu ulianzishwa mwaka 2002 chini ya Sheria ya Mashirika ya Serikali...