Yanga wameshinda Leo na kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya robo fainali Africa CAFCL huku wakishika nafasi ya tatu na alama nne Nyuma ya Mc Alger mwenye alama sawa na Yanga akiwa na michezo Mitatu huku Yanga amecheza michezo minne na kinara Wao ni Al HILAL ambae anaongoza kundi hilo Kwa alama...
Yanga walianza mechi vizuri sana : umiliki wa mpira , intensity ya hali ya juu , pressing , walikuwa wanapasiana mpira vizuri sana wakati wanaanza “Build Up” na walitumia sana eneo la katikati kutengeneza nafasi kwasababu Tp Mazembe walikuwa wanazuia wakiwa chini lakini hawakufanya pressing ya...
Mechi nzuri ya kuitazama, Yanga wanamiliki mali vizuri lakini wakifika kwenye nusu ya Mazembe wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji + Tp wanazuia vizuri wakiwa kwenye “Mid block” : Yanga wanapata runners wengi eneo la mbele na wapo sharp kwenye kuachia mipira
Wanachokifanya Mazembe wakati...
Baada ya Yanga kupata “Turning Point” yao pale Lubumbashi dhidi ya Tp Mazembe kwenye CAFCL leo wanarudi tena wakiwa nyumbani dhidi ya wababe hao hao kutoka DR Congo.
Sead Ramovic ametambulisha system mpya ya uchezaji ndani ya Yanga kwenye michezo mitatu ya hivi karibuni : shape ya 4-2-3-1 kama...
"...Sisi wachezaji wetu ndio ambao watakaotubakiza kwenye ramani ya Champions League na wao ndio watakaotutoa kwenye ramani kwa hiyo ufunguo upo kwao watuweke kwenye mashindano kwa kushinda au kututoa kwa kupoteza, uzuri na wachezaji wametoa ahadi yao kuwa watapigana kushinda."- Eng. Hersi Said...
KIKOSI Cha Young African's vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL dhidi ya Tp Mazembe.
Mchezo huo utapigwa January 04, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin mkapa Tanzania Mkoani Dar es salaam saa kumi kamili...
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa kumi jioni.
Clatous Chama na Attohoula Yao watakosekana kwenye mechi ya keshoCAF CL dhidi ya Tp...
Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kumsajili winga Jonathan Ikangalombo kutoka As Vita Club ya DR Congo. Jonathan mwenye umri wa miaka 22 tayari yupo jijini Dar kukamilisha usajili huo.
Yanga walianza na mikakati sahihi , wakiwa na mpira 2-3-4-1 (Joba na Bacca wanakuwa nyuma then Aucho mbele yao “Pembe tatu shape” huku Kibwana na Boka wanakuwa mstari mmoja then Muda anasogea juu sawa na Aziz Ki , Pacome na Mzize …. Baada ya hapo matokeo yake yalikuwa ni nini ?
Yanga walifanya...
KIKOSI Cha Young African's vs Singida Fountain Gate Leo 29 December 2024
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate .
Mchezo huo utapigwa December 29, 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex Mkoani Dar es salaam.
Kuelekea mchezo...
Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL, Yanga Dhidi ya Singida Fountain Gate katika uwanja wa KMC Complex Dar es...
Mechi za Leo Jumapili 29 December 2024
Tanzania – Premier League
16:00 Coastal Union vs Kinondoni MC
16:00 Young Africans vs Fountain Gate FC
Tanzania – NBC Championship
16:00 Kiluvya FC vs African Sports
England – Premier League
17:30 Leicester City vs Manchester City
18:00 Crystal Palace vs...
Ratiba ya Mechi za Leo Jumapili 22 December 2024
Tanzania -NBC Premier League
16:00 Young Africans vs Tanzania Prisons
England – Premier League
17:00 Everton vs Chelsea
17:00 Fulham vs Southampton
17:00 Leicester City vs Wolves
17:00 Manchester United vs Bournemouth
19:30 Tottenham Hotspur vs...