Mchezo ulianza kwa timu zote kufanya makosa yanayofanana : kila timu walipoteza mipira kirahisi “Pass” lakini Yanga quality imeamua mchezo.
Yanga na 4-2-3-1 kama kawaida yao lakini wakiwa na mali wanabadilika na kuwa 2-4-3-1 (Job na Bacca wanakuwa nyuma ya Aucho na Muda + Kibwana na Kibabage...
Klabu ya Young Africans itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Tanzania Prisons FC, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa tarehe 22 December 2024 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 10:00 jioni.