Yanga walianza mechi vizuri sana : umiliki wa mpira , intensity ya hali ya juu , pressing , walikuwa wanapasiana mpira vizuri sana wakati wanaanza “Build Up” na walitumia sana eneo la katikati kutengeneza nafasi kwasababu Tp Mazembe walikuwa wanazuia wakiwa chini lakini hawakufanya pressing ya...
Mechi nzuri ya kuitazama, Yanga wanamiliki mali vizuri lakini wakifika kwenye nusu ya Mazembe wanakuwa na idadi ndogo ya wachezaji + Tp wanazuia vizuri wakiwa kwenye “Mid block” : Yanga wanapata runners wengi eneo la mbele na wapo sharp kwenye kuachia mipira
Wanachokifanya Mazembe wakati...
Rais wa Tp mazembe MOÏSE KATUMBI amewaahidi wachezaji wake dollar 💰$100,000 ambazo ni sawa na Tshs milioni (240,090,900.2695) kwa kila bao litakalofungwa dhidi ya Young AfricansSC leo Jumamosi 04 January 2025.
"...Sisi wachezaji wetu ndio ambao watakaotubakiza kwenye ramani ya Champions League na wao ndio watakaotutoa kwenye ramani kwa hiyo ufunguo upo kwao watuweke kwenye mashindano kwa kushinda au kututoa kwa kupoteza, uzuri na wachezaji wametoa ahadi yao kuwa watapigana kushinda."- Eng. Hersi Said...
KIKOSI Cha Young African's vs Tp Mazembe Leo 04 January 2025
Klabu ya Yanga itakuwa nyumbani Leo kucheza mchezo unaofuata wa Ligi Ya Mabingwa Africa CAFCL dhidi ya Tp Mazembe.
Mchezo huo utapigwa January 04, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin mkapa Tanzania Mkoani Dar es salaam saa kumi kamili...
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa kumi jioni.
Clatous Chama na Attohoula Yao watakosekana kwenye mechi ya keshoCAF CL dhidi ya Tp...
Michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL inaanza Leo katika Ungwe ya Nne.
Cr Belouizdad vs Al Ahly Sc Leo (Ijumaa) 10:00 PM
Yanga SC vs Tp Mazembe Kesho (Jumamosi) 04: 00 PM
Orlando pirates vs Stade D'Abidjan Kesho (Jumamosi) 07:00 PM
As Far Rabati vs As Maniema Kesho (Jumamosi) 10:00 PM
Raja...
Ni kweli Yanga ni miongoni mwa timu 6 ambazo hazijafanikiwa kupata ushindi wowote kwenye michuano ya CAF Interclub.
Ni kweli Yanga wana alama moja mkiani.
Lakini, Sidhani kama Yanga wakishindwa kufuzu hatua ya robo fainali ikuwa story kubwa sana...Na sioni kama kuna ulazima wa matokeo hayo...