Pichani ni Abdulrazak Hamza na Yusuph Kagoma wachezaji wa Simba Sc wenye utambulisho wa uraia wa Tanzania.
Ni sajili za dirisha kubwa la usajili msimu wa 2024/25 pale Lunyasi.
Naamini asilimia kubwa ya watanzania wakati wa sajili hizi waliamini/tuliamini ni wachezaji wa ziada kwenye timu...