G

Ada kwa kozi za Astashahada ya Msingi (Cheti) Chuo cha Mipango IRDP 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ada kwa kozi za Astashahada ya Msingi (Cheti) Chuo cha Mipango Kwa wanafunzi wa kozi za Astashahada (Basic Technician Certificate, NTA Level 4) wakiwemo wale waliochaguliwa na serikali ada yao ni Sh. 940,000/= katika kozi zote isipokuwa kozi ya Astashahada ya Msingi ya Upimaji Ardhi (Geomatics), Astashahada ya Msingi ya Mipango Miji na Vijiji (Urban and Regional Planning) na Astashahada ya msingi katika Usimamizi wa Ardhi na Uthamini (Land Management and Valuation) ada yao ni Sh. 1,015,000/= inayolipwa kwa mchanganuo ufuatao;

Hapa chini ni mchanganuo wa ada ulioandaliwa vizuri kwa kozi za Astashahada ya Msingi (Basic Technician Certificate) pamoja na kozi maalum za Geomatics, Urban and Regional Planning, na Land Management and Valuation:

Jedwali Na. 1: Mchanganuo wa Ada kwa Kozi Zote za Astashahada ya Msingi (Basic Technician Certificate)

KipengeleSiku ya KuripotiBaada ya Miezi MiwiliJumla
Muhula wa KwanzaSh. 325,000Sh. 200,000Sh. 525,000
Muhula wa PiliSh. 215,000Sh. 200,000Sh. 415,000
Jumla KuuSh. 940,000

Jedwali Na. 2: Mchanganuo wa Ada kwa Kozi Maalum

Geomatics, Urban and Regional Planning, Land Management and Valuation
KipengeleSiku ya KuripotiBaada ya Miezi MiwiliJumla
Muhula wa KwanzaSh. 355,000Sh. 205,000Sh. 560,000
Muhula wa PiliSh. 235,000Sh. 220,000Sh. 455,000
Jumla KuuSh. 1,015,000
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom