Ajira 76: Nafasi za Kazi Ajira Portal na Utumishi Februari 2025 Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) na Kampuni ya Mzinga, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na ari ya kazi kujaza nafasi 76 za ajira zilizopo wazi.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (08-02-2025)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (08-02-2025)
Nafasi za Kazi ITARA KIDH
Ajira Mpya 2025