Ajira 76: Nafasi za Kazi Ajira Portal na Utumishi Februari

Ajira 76: Nafasi za Kazi Ajira Portal na Utumishi Februari Ajira Mpya 2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ajira 76: Nafasi za Kazi Ajira Portal na Utumishi Februari 2025 Kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) na Kampuni ya Mzinga, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa na ari ya kazi kujaza nafasi 76 za ajira zilizopo wazi.
Ajira 76: Nafasi za Kazi Ajira Portal na Utumishi Februari

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (08-02-2025)
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom