Ajira Mpya UNESCO Octoba 2024

Ajira Mpya UNESCO Octoba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 90%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
803
Ajira Mpya UNESCO Octoba 2024 Wananchi wenye sifa na uzoefu kutoka Tanzania wanakaribishwa kutuma maombi yao kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO):

NAFASI ZA AJIRA​

Na.KaziDarajaKituo cha KaziMwisho wa Kutuma Maombi
1Mtaalamu wa ProgramuP - 4 (Elimu)Suva01 Novemba, 2024
2Mtaalamu wa ProgramuP - 3 (Sayansi ya Kijamii na Binadamu)Santiago04 Novemba, 2024
3Mtaalamu wa ProgramuP - 4 (Sayansi ya Kijamii na Binadamu)Paris04 Novemba, 2024

UJAZAJI WA MAOMBI:​

Ajira Mpya UNESCO Octoba 2024

  • Waombaji wenye sifa wanahimizwa kutembelea tovuti ya UNESCO (https://careers.unesco.org) kwa taarifa zaidi na kuzingatia mahitaji ya kila nafasi iliyotangazwa kama inavyoelekezwa.
  • Vilevile, waombaji wanapaswa kutuma nakala ya maombi yao kwa anwani ifuatayo:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Utumishi Street,
S.L.P. 670, Dodoma
Barua pepe: [email protected]
 
Last edited:

Samahani naomba kuuliza barua ya maombi tunatuma kwa njia ya online?
 
Maombi unatuma kupitia tovuti ya UNESCO, lakini nakala ya maombi ndio unatuma kwenda posta utumishi, soma maelezo kwenye picha
 
Back
Top Bottom