- Views: 3K
- Replies: 3
Hili hapa tangazo la Ajira mpya, Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Februari 2025 kwa watanzania wote wenye nia, ari, sifa, vigezo waweze kutuma maombi kujaza ajira mpya hizi zilizo tangazwa siku ya leo.
Leo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya Kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji za mwaka 2008, anatangaza nafasi za ajira ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa vijana wenye sifa zifuatazo:
Bonyeza hapa kudownload tangazo la ajira zimamoto