Ajira Portal | Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs, Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 02 Disemba 2025 hadi 12 Januari 2025 a hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
Usaili utafanyika kuanzia tarehe iliyoainishwa kwenye tangazo. Sehemu na muda wa usaili umeorodheshwa kwa kila kada, hivyo hakikisha unazingatia ratiba yako binafsi.
2. Uvaaji wa Barakoa (Mask)
Kila msailiwa anapaswa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa barakoa kwa ajili ya tahadhari ya kiafya.
3. Utambulisho
Washiriki wote wanapaswa kuwa na kitambulisho cha utambulisho. Vitambulisho vinavyokubalika ni:
Msailiwa anapaswa kufika na vyeti vyake halisi ambavyo ni:
Kila msailiwa atajigharamia chakula, usafiri, na malazi wakati wa usaili.
7. Kuheshimu Ratiba
Ni muhimu kufika eneo la usaili kwa wakati, kulingana na tarehe, muda, na mahali ulipoainishwa kwenye ratiba yako.
8. Waombaji Waliosoma Nje ya Tanzania
Waombaji ambao wamesoma nje ya nchi wanapaswa kuhakikisha vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika kama TCU, NACTE au NECTA.
9. Waliokosa Nafasi ya Usaili
Kwa wale ambao majina yao hayakuonekana kwenye tangazo hili, tambueni kuwa hamkukidhi vigezo vya nafasi husika. Hata hivyo, mnaombwa kuendelea kuomba nafasi nyingine zitakapotangazwa na kuhakikisha mnafuata mahitaji yaliyowekwa.
10. Kada Zenye Usajili wa Bodi za Kitaaluma
Kwa kada zinazohitaji usajili wa bodi maalum, msailiwa anapaswa kuwasilisha vyeti halisi vya usajili pamoja na leseni za kazi.
11. Namba ya Mtihani
Kila msailiwa anatakiwa kuingia kwenye akaunti zake na kunakili namba ya mtihani kabla ya siku ya usaili, kwani namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
12. Hali ya Hewa ya Dodoma
Kwa kuwa hali ya hewa ya Jiji la Dodoma ni baridi, msailiwa anashauriwa kuvaa mavazi yanayoweza kuhimili hali hiyo ya ubaridi.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 15-12-2024 PAKUA PDF HAPA CHINI.
Maelezo Muhimu kwa Washiriki wa Usaili
1. Ratiba ya UsailiUsaili utafanyika kuanzia tarehe iliyoainishwa kwenye tangazo. Sehemu na muda wa usaili umeorodheshwa kwa kila kada, hivyo hakikisha unazingatia ratiba yako binafsi.
2. Uvaaji wa Barakoa (Mask)
Kila msailiwa anapaswa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa barakoa kwa ajili ya tahadhari ya kiafya.
3. Utambulisho
Washiriki wote wanapaswa kuwa na kitambulisho cha utambulisho. Vitambulisho vinavyokubalika ni:
- Kitambulisho cha Mkazi
- Kitambulisho cha Mpiga Kura
- Kitambulisho cha Kazi
- Kitambulisho cha Uraia
- Hati ya Kusafiria
Msailiwa anapaswa kufika na vyeti vyake halisi ambavyo ni:
- Cheti cha Kuzaliwa
- Cheti cha Kidato cha Nne (IV)
- Cheti cha Kidato cha Sita (VI)
- Cheti cha Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na vyeti vya juu zaidi kulingana na sifa za nafasi aliyoomba.
- "Testimonials," "Provisional Results," "Statement of Results" au matokeo ya Kidato cha Nne (IV) na Sita (VI) yanayoletwa kama "Results Slips" HAYATAKUBALIWA.
- Msailiwa yeyote atakayewasilisha nyaraka hizo hataruhusiwa kuendelea na usaili.

Attachments