Angalia matokeo ya darasa la saba kutoka NACTE mkoa wa mwanza mwaka 2024/2025

Angalia matokeo ya darasa la saba kutoka NACTE mkoa wa mwanza mwaka 2024/2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Wahabi

New member

Joined
Oct 25, 2024
Messages
2
Hatua ambazo ni rahisi zaidi katika kuangalia matokeo ya darasa la saba mwaka 2024/2025 ni kama ifuatavyo:

1. Tembelea tovuti ya kiungo cha ( www.necta.go.tz ) Ambapo utakupeleka moja kwamoja kwenye shule zote za msingi za hapa Tanzania kwa mgawanyiko wa mikoa.

2. Tofauti na kipengele cha namba mbili kwa hapo juu utaweza kutumia simu yako ya kawaida kama vile (batani) kwa kua mfumo umeboleshwa zaidi kwa watu ambao hawatumii simu, hatua ni kama zifuatazo hapa chini,
1. Ingiza namba ya mtihani kwenda namba iliyoidhinishwa NECTA, baada ya hapo utapata ujumbe mfupi kwa njia ya meseji ambayo imeambatanisha matokeo halisi ya mwanafunzi.

3. Kwa wale ambao hawana uwezo wa kutumia simu wanaweza kufika katika shule husika ambapo mwanafunzi amehitimu, mala nyingi hubandikwa kwenye kuta za shule husika.

Author: Wahabi Omary
 
Back
Top Bottom