Barua za kuitwa kazini sasa kidigitali

Barua za kuitwa kazini sasa kidigitali Ajiraportal/Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma barua za kuitwa kazini sasa kidigitali, kuja Dodoma sasa basi, huduma kiganjani kwako.

Barua za kuitwa kazini sasa zinapatikana katika akaunti ya Ajira Portal.
Barua za kuitwa kazini sasa kidigitali

Jina lako likitokea katika Tangazo la kuitwa kazini kupitia tovuti ya www.ajira.go.tz,

Nenda kwenye Akaunti yako ya Ajira Portal, eneo la My application, kisha pakua barua yako ya ajira na ukaripoti katika kituo chako cha kazi ulichopangiwa.

Nakala za Barua za waajiri pia zinapatikana katika akaunti zao za Ajira Portal.
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom